Kuanzia ujenzi wa website za kisasa, mifumo ya mauzo (POS), school management, usalama wa mitandao, hadi kuunganisha API za M-Pesa na WhatsApp Bots.
Tunatengeneza website za kisasa mno kwa ajili ya makampuni, taasisi, shule, na biashara binafsi zenye muonekano wa kuvutia, kasi kubwa, na SEO ya juu.
Agiza Website HapaMfumo wa kusimamia ada, matokeo, mahudhurio ya wanafunzi na walimu, pamoja na kutuma SMS za taarifa kwa wazazi kiotomatiki.
Omba Demo ya ShuleKusimamia stoko (inventory), mauzo ya kila siku, risiti, faida na hasara kwa maduka, supermakets, na migahawa.
Pata Mfumo wa POSBot inayojibu wateja wako WhatsApp masaa 24/7, kupokea oda, na kuunganisha malipo bila wewe kuwepo kwenye simu.
Set Up WhatsApp BotKuunganisha M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa, na Visa/Mastercard moja kwa moja kwenye mfumo au website yako.
Kuunganisha MalipoKukagua na kulinda servers, databases, na maombi ya mtandao dhidi ya hackers, udukuzi wa data, na maafa ya mtandao.
Audit System Yako