Selvix Technology Logo
Selvix Core Capabilities

Huduma na Mifumo Yote ya Selvix Technology

Kuanzia ujenzi wa website za kisasa, mifumo ya mauzo (POS), school management, usalama wa mitandao, hadi kuunganisha API za M-Pesa na WhatsApp Bots.

Nyumbani / Huduma Zetu (Services)

1. Website za Kisasa (Modern Web Portals)

Tunatengeneza website za kisasa mno kwa ajili ya makampuni, taasisi, shule, na biashara binafsi zenye muonekano wa kuvutia, kasi kubwa, na SEO ya juu.

Agiza Website Hapa

2. Mfumo wa Shule (School Management)

Mfumo wa kusimamia ada, matokeo, mahudhurio ya wanafunzi na walimu, pamoja na kutuma SMS za taarifa kwa wazazi kiotomatiki.

Omba Demo ya Shule

3. Point of Sale (POS) & Duka

Kusimamia stoko (inventory), mauzo ya kila siku, risiti, faida na hasara kwa maduka, supermakets, na migahawa.

Pata Mfumo wa POS

4. WhatsApp AI Auto-Reply Bot

Bot inayojibu wateja wako WhatsApp masaa 24/7, kupokea oda, na kuunganisha malipo bila wewe kuwepo kwenye simu.

Set Up WhatsApp Bot

5. Payment Gateway Integration (API)

Kuunganisha M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa, na Visa/Mastercard moja kwa moja kwenye mfumo au website yako.

Kuunganisha Malipo

6. Usalama wa Mtandao (Cybersecurity)

Kukagua na kulinda servers, databases, na maombi ya mtandao dhidi ya hackers, udukuzi wa data, na maafa ya mtandao.

Audit System Yako