Β© Selvix Technology
Unapenda kutengeneza mifumo mikubwa, AI, na kulinda data? Ungana na timu ya Salehe Shabani katika kuunda teknolojia za kisasa barani Afrika.
Chagua nafasi inayolingana na uzoefu wako kisha tuma maombi yako moja kwa moja.