Tunajenga mifumo thabiti ya kisasa ya kibiashara, usalama wa mitandao (cybersecurity), na bots za kujiendesha (AI WhatsApp bots) ili kurahisisha uendeshaji wa taasisi na makampuni barani Afrika.
Selvix Technology iliasisiwa na kuongozwa na **Salehe Shabani** (CEO & Lead Systems Architect), mhandisi wa mifumo aliye na maono makubwa ya kuweka teknolojia ya kiwango cha kimataifa mikononi mwa wafanyabiashara na taasisi nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
"Maono yetu ni kuhakikisha kila biashara na taasisi inatumia mfumo salama, wa haraka, na wa kisasa bila usumbufu wa kiufundi. Kuanzia mfumo wa kodi wa shule, payment gateways, hadi chatbot za WhatsApp zinazouza zenyewe."
β Salehe Shabani, CEO Selvix Technology
Mifumo Iliyozinduliwa
System Uptime
Support ya Kiufundi
+255 750 020 767
Kutana na wahandisi, wasanifu, na wabunifu wakuu wanaounda mifumo yako ya kisasa.
CEO & Lead Systems Architect
Simu: +255 750 020 767
Msimamizi mkuu wa usanifu wa mifumo mikubwa, ulinzi wa mtandao na mikakati ya kibiashara Selvix.
Assistant Developer
Simu: +255 747 220 702
Mtaalamu wa Frontend UX, JavaScript frameworks na uundaji wa interface za kisasa.
Security & Backend Engineer
Simu: +255 612 929 319
Mtaalamu wa kuunganisha API za malipo (Payment Gateways), database na server security.
Camera Man & Media Strategist
Mtaalamu wa Brand Media
Msimamizi wa picha za kibiashara, matangazo ya video, na muonekano wa visual wa bidhaa.